KITUO cha Kulelea watoto yatima cha Guardian Angels cha jijini Dar es Salaam, kinawakaribisha katiki Chakula Maalum cha Hisani kwaajili ya Kuchangisha Fedha kwaajili ya kuwalipia ada, sare za shule na madaftari kwa waoto 30 wa kituo hicho wanaotaraji kuanza shule Mwezi Januari 2013.
Tukio hili litafanyika Desemba 22, 2012 pale VICTORIA PETROL STATION (VCC) kuanzia saa kumi na mi. Vitu mbalimbali vitauzwa kwa njia ya mnada. Jitokeze kuchangia Elimu ya watoto.
No comments:
Post a Comment