December 08, 2012

CHUO CHA STELLA MARIS MTWARA WAFANYA MAHAFALI YA KWANZA

Baadhi ya wahitimu 1147 wa Chuo Kikuu cha Stella Maris Mtwara ambacho ni Chuo Kikuu Kishiriki cha Mtakatifu Agustino (SAUT) wakiwa katika mahafali ya kwanza ya chuo hicho mjini Mtwara Desemba 4.Mgeni rasmi mahafali hayo alikuwa Naibu Waziri Ajira na Kazi, Makongoro Mahanga.
Mmoja wa Wahitimu hao Sikutu Jackob akiivaa digrii yake katika mahafali hayo

No comments:

Post a Comment