Mtangazaji
wa Televisheni ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Grace Kingarame akiwa
amependeza baada ya kufanyiwa mambo katika Saloon ya Centre Point, Mwenge, Dar
es Salaam leo, ikiwa ni maandalizi ya kufunga harusi na Mwandishi Mwandamizi wa
gazeti la Jambo Leo, Julius Kihampa.
Upambaji ukiendelea
Grace akiwa na mpambe wake
Grace akiondoka Saloon tayari kwenda kupanda Remousine linaloonekana chini, kwenda kanisani St Albano. Na KAMANDA WA MATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment