December 01, 2012

AFTER SKUL BASH HIYOOOOOOOOO INAKUJA!!

TAMASHA hili kwaajili ya wanafunzi litakalo fanyika katika fukwe ya Mbalamwezi Beach Club litapambwa na wasanii kibao wa Muziki wa Kizazi kipya kama vile, Mr Blue, Ommy Dimpoz, Shettah, Stamina, Mwana FA, Bob Junior, Rich Mavocal, Mabeste, Makomando, Walter Mshindi wa EBSS, Young D, Country Boy, Joh Makini, Darasa, Godzillah, Sterio na Cyril. 

Lakini hiyo kama haitoshi, pia Mr & Miss XXL 2012 atapatikana sambamba na mashindano ya kuogelea, Star look alike, talent Search, mashindano ya kuchana na soka la Ufukweni. 

No comments:

Post a Comment