Father
x-mas akitoa zawadi kwa mmoja wa watoto waliohudhuria onyesho maalumu
la muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society lililoandaliwa na
Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya
Taifa, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (katikati), akizungumza na
mmoja wa wateja mashuhuri wa kampuni hiyo, Jaji Joaquine Antoinette
De-Mello(kushoto) katika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya
ya Dar Choral Society lililodhaminiwa na Airtel katika Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa
Wateja wa Makampuni wa Airtel. Irene Madeje.
Baadhi
ya wanamuziki wa Kikundi cha kwaya cha Dar Choral Society wakionyesha
umahiri wao katika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya hiyo
lililoandaliwa na Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Wateja wa Makampuni wa Airtel, Irene Madeje (wa pili kushoto) akizungumza na baadhji ya wateja wokatika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society lililoandaliwa na
Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi
ya watu waliohudhuria onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya
ya Dar Choral Society lililoandaliwa na Airtel kwa wateja wao wa
makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam
jana.
No comments:
Post a Comment