November 15, 2012

PONGEZI za FK BLOG kwa CCM

Uongozi wa Father Kidevu Blog 'FK' na MD Digital Company unatoa salamu za Pongezi kwa Chama cha mapinduzi kwa kupata Sekretarieti yake Mpya baada ya mkutano wao Mkuu wa 8 uliomalizika hivi karibuni mjini Dodoma. FK BLOG kwa kuzingatia kuwa Siasa safi ndio msingi wa maendeleo basi inampa pongezi za Dhati Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, viongizi wote wa juu wa CCM bara na Visiwani pamoja na wanachama wote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. 
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, IDUMU AMANI YA TANZANIA

No comments:

Post a Comment