MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao
hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
katika kiktuo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya
kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace
aliyeshikwa na trafiki hao.//Picha na Nakajumo James.KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
November 04, 2012
TRAFIKI WAMPA KICHAPO MWANAJESHI MJINI MOSHI
MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao
hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
katika kiktuo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya
kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace
aliyeshikwa na trafiki hao.//Picha na Nakajumo James.
No comments:
Post a Comment