November 28, 2012

AJALI ILIYO CHUKUA UHAI WA SHARO MILIONEA

 
 
 

Gari aina ya Harrier lenye namba za Usajili T478BVR lililokuwa likiendeshwa na Marehemu  Hussein Ramadhani Mkieti (27) maarufu SHARO MILIONEA alifariki duni juzi katika ajali ya gari kijii cha Maguzoni Soga Wilaya ya Muheza jijini Tanga likionekamna katika taswira tofauti baada ya kupata ajali hiyo na kuondoa uhai wa Msanii hiyo.
Sharo Milionea anazikwa leo nyumbani kwao Muheza mkoai Tanga.

No comments:

Post a Comment