WADAU wakiwa katika pozi baada ya kula nondo zao wakati wa
Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino jijini Mwanza hivi
karibuni.Wapili kushoto ni Peter Milanzi na Kulia ni Neema Mbuja.
Peter Milanzi akiwa katika vazi lake maalum la Mahafali baada ya Kutunukiwa Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma.
Peter Milanzi akiwa na wahitimu wenzake wa shahada ya Uzamili, ya ST Augustine
Mhitimu wa Shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Umma,
Peter Milanzi, akisalimiana na Mgeni rasmi katika Mahafali hayo na Waziri wa
Ujenzi, Dk. John pombe Magufuli mara baada ya kuwatunuku wahitimu hao shahada
zao.
No comments:
Post a Comment