Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa katika
picha ya kumbukumbu na viongozi wa matawi ya CCMughaibuni (Diaspora)
waliowaalika kwa chakula cha mchana Ikulu ndogo mjini Dodoma Jumatano
Novemba 14, 2012. Viongozi hao kutoka Marekani, Italy, India,
UingerezaAfrika kusini na India walihudhuria katika Mkutano Mkuu wa Nane
wa CCM uliomalizika juzi Kizota
No comments:
Post a Comment