Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro jioni leo Novemba 15,
2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiombewa dua na viongozi wa dini mara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro leo Novemba
15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha.
Rais Jakaya Kikwete akipiga picha na viongozi hao wa dini
No comments:
Post a Comment