Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
maelfu ya wanachama wa chama hicho wa mkoa wa Dar es salaam
waliomwandalia hafla ya kumpongeza leo Novemba 18, 2012 katika viwanja
vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya
maelfu ya wanachama wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam waliomwandalia
hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo
Novemba 18, 2012 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment