November 30, 2012

MKUTANO WA 14 WA WAKUU WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAENDELEA NAIROBI

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania (kushoto) akizungumza jambo na Rais Paul kagame wa Rwanda wakati wa Mkutano wa 14 wa Viongozi wa Kuu wa Nchi wanachama za Jumuia ya Afrika mashariki unaofabnyika mjini Naorobi Kenya leo. Waweza kuangalia LIVE mkutano huo hivi sasa kwa ku BOFYA EAC 14 SUMIT
 Viongozi Wakuu wa EAC wakionesha pochi zilizo na makubaliano watakayo tia saini.
 Viongozi wakuu wa nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika mashariki wakitilana saini moja ya makubaliano waliyoyafikia katika mkutano huo.
 Baadhi ya wageni mbalimbali waalikwa na mawaziri kutoka nchi wanachama.
Waku wa Nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki wakiimba nyimbo za mshikamano baina ya nchi zao.

No comments:

Post a Comment