November 18, 2012

MEYA WA ILALA JERRY SLAA AKABIDHI ZAWADI MICHUANO YA KUKUZA VIPAJI YA "DIWANI SUPER EIGHT CUP" KATA YA GONGO LA MBOTO.

Pichani Juu na Chini ni Meya wa Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto Jerry Slaa akikabidhi ng’ombe kwa Naodha wa timu ya Kaza Roho, Rajabu Akili (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kukuza vipaji yaliyojulikana kama "Diwani Super Eight Cup" ya kata ya Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.

Meya wa Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto Jerry Slaa akimkabidhi Mbuzi kwa mshindi wa pili Naodha wa timu ya Soko Fc (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kukuza vipaji katika kata yake yaliyojulikana kama "Diwani Super Eight Cup" jijini Dar es Salaam.

Meya wa Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto Jerry Slaa akimkabidhi Jezi kwa mshindi wa tatu, Zacharia Jonas Naodha wa timu ya Ball Kipaji (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kukuza vipaji yaliyojulikana kama "Diwani super Eight Cup" ya Kata ya Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment