Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa mpira, mjini
Geita mkoani Geita, jioni hii, akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya mikoa
minne kujitambulisha kwa wanachama na kukagua uhai wa chama ngazi za mashina na
matawi na kusimamia na kueleza utekelezaji wa ilani ya Chama.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo
ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla
ya leseni 21 zilikabidhiwa kwa wachimbaji hao baada ya kutolewa na serikali ili
kuwwezesha wachimbaji wadogo nao kunufaika na madini badala ya wachimbaji
wakubwa tu.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizindua shina la wakereketwa wa CCM la
wajasiriamali watengeneza fenicha katika mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, leo.
Nape aliwapa pia ,msaada wa sh. milioni moja kwa ajili ya wajasiriamali hao
kukuza shughuli zao.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo
ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla
ya leseni 21 zilikabidhiwa kwa wachimbaji hao baada ya kutolewa na serikali ili
kuwwezesha wachimbaji wadogo nao kunufaika na m,adini badala ya wachimbaji
wakubwa tu.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisalimiana na vijana wa mji wa Katoro wanaojishughulisha na biashara ndogo.
No comments:
Post a Comment