November 20, 2012

DC BAHI AHAMASISHA JUU YA MFUKO WA AFYA CHIFUTUKA

Mkuu wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa akizungumza na wananchi na wakazi wa Kijiji cha Chifutuka wilayani humo wakati wa kampeni maalum ya kuhamasisha wananchi juu ya kujiunga na Mfuko wa Afya ulioboreshwa.

No comments:

Post a Comment