April 10, 2012

WASANII JUACALI, NATURE, FID Q, MANGWAIR WAFUNIKA NDANI YA DAR LIVE USIKU WA PASAKA

 Juma Nature akionyesha vitu vyake stejini.
 Umati wa watu
 Fid Q akikamua vilivyo jukwaani na mashairi yake
 Ngwea nae hakucheza mbali
Juacali akiwapa burudani mashabiki waliofurika ndani ya Ukumbi wa Dar Live siku ya Pasaka.

No comments:

Post a Comment