April 06, 2012

Uzinduzi wa filamu ya 69 Recods katika picha

Usiku wa kuamkia leo Aprili 6, 2012 palifanyika uzinduzi wa filamu kali iliyochezwa kwa umahiri mkubwa. Uzinduzi huo ulifanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na mastaa kibao. Pichani ni Msanii Queen Doreen ambaye ni miongoni walioigiza kwenye tamthilia ya 69 Recods,wakijitambuliza,nyuma yake ni wasanii waliogiza kwenye tamthilia hiyo
Washiriki wa tamthilia ya 69 Records wakiendelea kujitambulisha.
Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya H-Baba akitumbuiza kwenye hafla hiyo
Ilikuwa ni kushangweka tu ukumbini mara baada ya uzinduzi wa tamthilia hiyo iliyorekodiwa kwa ubora wa Kimataifa.
Bofya JIACHIE

No comments:

Post a Comment