Mwanamuziki Solomon Mukubwa akiimba jukwaani kabla ya kuzindua albamu yake iitwayo KWA UTUKUFU WA MUNGU,ambayo inatarajiwa kuzinduliwa na mgeni rasmi wa tamasha la Pasaka,Waziri wa Mambo ya Nje,Mh Membe.
Anastazia Mukabwa akiwa na baadhi ya waimbaji wake wakifurahia wakati Solomoni Mukubwa alipokuwa akitumbuiza.
Watu waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la pasaka jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar.
Umati wa watu ndani ya uwanja wa Taifa kusherehekea tamasha pasaka.
Kikundi cha Glorious kikitumbuiza jukwaani.
Wimbo wa kiatu kivue ikiimbwa na wanamuziki Anastazia Mukabwa sambamba na Rose Muhando huku uwanja mzima ukilipukwa na mayowe.
Mkurugenzi wa Msama Promotions akizungumza na Wanahabari ndani ya Uwanja wa Taifa jioni ya leo kabla ya tamasha la Pasaka kuanza,Tamasha la pasaka limeandaliwa na kampuni ya Msama Promotions Ltd
Waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya wakittumbuiza jukwaani.
Picha na JIACHIE BLOG.
No comments:
Post a Comment