April 12, 2012

Mnaotaka Kuwa Ma-Models True Eyes Modeling Agency inawakaribisha


Kampuni ya True Eyes Modeling Agency inapenda kuwatangazia Watanzania wote ambao wangependa kufanya shughuli za Modeling wafike kujianduikisha katika usahili wa Models wapya utafanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.

True Eyes Modeling Agency inawaomba wale wote wenye vigezo na wanapenda kua Models  wafike kujiandikisha.

Siku:      Ijumaa 
Tarehe :     13/04/2012
 Saa :         9:00 Asubuhi 
Mahali:          Cocobeach

1 comment:

  1. Mmmmh!

    Kaka. Huyu Binti hapo kwenye Tangazo kontakts zake naweza kuzipataje?

    Daah!

    ReplyDelete