April 11, 2012

Kutoka Bungeni Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki na wapambe wao kwenye viwanja  vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 11, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya (katikati ) na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thanduyise Chiliza, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Aprili 11, 2012.

Waziri Mkuu, MizengoPinda  akizungumza na Wenyeviti wa Halmashauri za Mkoa wa Mtwara, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Aprili 11, 2012.

No comments:

Post a Comment