April 03, 2012

KONYAGI YAKABIDHI MSAADA WA VYEREHANI

 
MbUnge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya Dr Merry Mwanjelwa Kulia amepokea vyerehani toka kampuni ya Konyagi Nchini vilivyotolewa kwaajili ya kuwawezesha vikundi vya akina mama wa Mkoa wa Mbeya.Aliyekabidhi vyerehani hivyo ni Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Konyagi nchini David Mgwasa.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Konyagi Nchini Bwana David Mgwasa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam kwenye dhifa ya kukabidhi vyerehani kwa vikundi vya akina mama wa Mkoa wa Mbeya vilivyokabidhiwa kwa Dr Marry Mwanjelwa Mbunge Viti maalum Mkoa wa Mbeya.

No comments:

Post a Comment