April 13, 2012

Balozi Trese na Ndoto ya Kuwa mwanamuziki

Balozi wa Tanzania Nchini Malawi, Patrick Luciano Tsere leo anasema haya katika picha hii:
"This is one of hobbies too! Playing the guitar! Nilipokuwa shule nilitamani sana kupiga muziki wa dansi! Hio ndoto ilibakia kuwa ndoto. Rafiki yangu John Kitime yeye aliweza kuitimiza ndoto yake! Hata hivyo bado ninayo ndoto ya kuanzisha kundi la vijana wa kupiga muziki wa gospel kwa kutumia vyombo live na siyo CD! Ninaamini Mungu ataifanikisha hio ndoto!"

1 comment: