Nafasi Ya Matangazo

March 21, 2012

Wachezaji wa timu ya ES Setif ya Algeria wakifanya mazoezi mepesi
Wachezaji wa timu ya ES Setif ya Algeria pamoja viongozi wao na mwenye suti katikati ni balozi wao wakiwa katika picha ya pamoja.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
 
Balozi wa Algeria nchini akiwasalimia wachezaji wa timu ya ES Setif kwenye uwanja wa Karume leo jioni.
Wachezaji wa timu ya ES Setif ya Algeria wakiwasili kwenye Uwanja Karume Dar es Salaam kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Simba ya jijini Dar katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) unaotaraji kuchezwa siku ya jumapili kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar.
Posted by MROKI On Wednesday, March 21, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo