March 24, 2012

Vodacom kukabidhi visima vya maji Dodoma

Vodacom Foundation leo inataraji kukabidhi mradi wa maji ktk kijiji cha Inyumbu kilicho nyuma ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mkoani Dodoma.Inadaiwa kuwa Ujenzi wa chuo hicho uliathiri chanzo cha maji katika mto Inyumbu ambao ulikua ndio chanzo kikuu cha maji kwa wakazi 2500 wa kijiji cha Iyumbu.

No comments:

Post a Comment