March 30, 2012

JK afungua Mkutano wa Mamlaka za Kuzuia na Kupambana na Rushwa Duniani leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano  wa Kimataifa wa Mamlaka za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kutoka nchini mbalimbali duniani mjini Arusha leo. Miongoni mwa nchi zinazoshiriki katika mkutano huo ni pamoja na Morocco , Uingereza, Qatar, Uganda, Romania, Brazil, Austria, india, Belgium , Spain, Ukraine , Malsiyia , Namibia na Mwenyeji Tanzania.

No comments:

Post a Comment