January 08, 2012

Zee la Nyeti Henry Mdimu alipokubali yaishe

Mwandishi wa Habari za Burudabi na Michezo wa Mwananchi ambaye pia ni Mtangazaji wa Times FM "Kituo cha Kazi" Henry Mdimu pichani maarufu kama Zee la Nyeti  jana aliamua kukubali yaishe pale aliupofunga ndoa yake takatifu. Mdimu aliwavuunja watu mbavu wakati wa tafrija hiyo pale wakati wa utambulisho alipomsimammisha mama yake mdogo na kudai kuwa enzi ya utoto wake aliwahi kimbia sindano Hospitali na kumwachia malapa mama yake huyo chumba cha sindano. Pia alipomtambulisha mjomba wake alidai siku moja alikamata vijana walio mtania Mdimu na kuwapa adhabu ya kuosha vyombo nyumbani kwao. Picha zaidi zitakujia muda si mrefu.
Mdau Henry Mdimu akitambulisha ndugu,jamaa na marafiki zake huku ubavu (mkewe) wake ukisikiliza kwa makini wakati wa utambulisho huo.
kula mamsap wangu wa kufa na kuzikana.
wakati wa maakuli uliwadia na maharusi ndio walioongoza kwa wageni waalikwa katika zoezi hilo.
Mdau Mroki Mroki na mai waifu wake pia walikuwepo katika mnuso huo.

Msanii Bongo Fleva,Barnabas akitumbuiza katika hafla hiyo.
Mzee wa Libeneke,Ankal Michuzi na ubavu wake (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maharusi.
Mduara ukisongeshwa.
wapendanao.
Wadau Othman (kushoto) na Ahmad Michuzi (kulia) wakiwa na maharusi ukumbini hapo.
 Maharusi na wapambe wao.
 wakati wa keki.
 Kwaitoozz
 Ma MC's
 Mwana FA na wadau.

12 comments:

  1. God bless you in your life, nawaombea mema kwa Mungu!

    ReplyDelete
  2. kila la kheri katika maisha yenu ya ndoa na mungu awatangulie inshallah

    ReplyDelete
  3. Mmependeza. Mungu aibariki ndoa yenu iwe na matunda mema, Amen!

    ReplyDelete
  4. Nawatakia maisha mema, Mungu awajalie kila la heri.

    ReplyDelete
  5. may God's blessings be with you n may yo marraige be the everlasting one

    ReplyDelete
  6. kaka MDIMU UMEOSHA ILE NIAJE... WADAU KIBAO HALAFU WATU PENDEZA SAAAAAAAAAAAAANA .. MAY god bless your new married couple.. mzuka raaaaaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  7. mmependeza sanaaa..may God bless u guys..mwana fa nimependa tabasam so mwaaaah...

    ReplyDelete
  8. cecy Jeremiah from Radio Uhuru

    kwa kweli ze la Nyeti hapo umechagua kwani akikisha umeshikamana naye kwani ukiteleza tu wajanja wanamchukua kweli huyo mkeo ni kifaaa.................


    Mkaishi kwa amani na Umependo na mumtangulize Mungu kwenye mambo yenu ili mfanikiwe zaidi na zaidi......

    ReplyDelete
  9. So nice. God bless your mariage.

    ReplyDelete
  10. its soooooooo sweety may god bless u in ur marriege

    ReplyDelete
  11. mapenzi ya kweli

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 30, 2012

    so amazing brother i wish you gudlucky......n GOD Bless you all

    ReplyDelete