January 04, 2012

Happy birthday Da Nitti kalili

Pichani ni Da' Nitti Kalili leo anatimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake,ni siku yake maalum ya kuzaliwa kwake.! Wadau wa Jiachie tumtakie kheri,siha njema na maisha marefu dada yetu Nitti.Haya tumuimbie basi kale kawimbo ketu maarufu kabisa ka bday,hayaaaa,Piter twendeeeee......!!

1 comment:

  1. Isanga May god guide you and give hundred more years ahead

    Rwegards to sharon nad her father

    Kasesela Joan

    ReplyDelete