KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
January 04, 2012
Daraja letu
Daraja hili lenye urefu wa mita 500 limejengwa juu ya mto Lyandembera likiunganisha kitongoji cha Kinyasuguni na Mahango, Madibira, wilayani Mbarali mkoani Mbeya. Limejengwa kwa Sh milioni 10.
No comments:
Post a Comment