December 24, 2011

SUZA yampongeza Bakhresa na kutunuku Shahada ya Heshima Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mkuu wa Chuo kikuu cha Taifa SUZA Dk Ali Mohmed Shein,akimkabidhi zawadi Said Salum Bakhresa,kwa mchango wake mkubwa kukisaidia Chuo,wakati wa mahafali ya 7 yaliyofanyika katika viwanja vya  chuo  Mnazi mmoja Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mkuu wa Chuo kikuu cha Taifa SUZA Dk Ali Mohmed Shein,akimtunuku Shahada  ya heshima ya chuo kikuu cha Taifa cha SUZA Rais Mstaafu wa Zanzibar Dr Amani Abeid Karume,wakati wa mahafali ya 7 yaliyofanyika katika viwanja vya  chuo Mnazi mmoja Mjini Zanzibar  leo.
 

No comments:

Post a Comment