December 24, 2011

Matumla na Osward wapima uzito tayari kwa pambanao lao kesho

Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya' (katikati), akiwashuudia mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo' kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni KIjichi, Dar es Salaam siku ya Xmas. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment