August 13, 2011

Wafanyakazi wa kiwanda cha Iron steel wakutana kujadili hatma yao

Mwenyekiti  wa wafanyakazi wa  kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel. Bw. Raina Mwanyamba akizungumza wakati wa mkutano wao wa kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi
Baadhi ya wafanyakazi wa  kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel  wakiangalia makabrasha mbalimbali kabla ya kuanza kwa kikao chao cha kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi.

No comments:

Post a Comment