KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 13, 2011
BANDARI YA SALAMA
Licha ya kuonekana kuwa kuna magari mengi sana mtaani lakini magari bado yanaendelea kuingia nchini kwa wingi siku hadi siku na meli zikishusha kwa wingi. Baadhi ni magari hayo yanavyoonekana bandarini Dar es Salaam na meli ikiendelea kupakua.
No comments:
Post a Comment