"Afande IGP mimi naomba nijisalimishe kwako nimekuwa ......" Nikama vile Richard Mwaikenda kutoka Blogu ya Kamanda wa Matukio akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta General , Said Mwema hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa kitii sheria bila kushurutishwa uliofanyika makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya nje.Mwaikenda pia ni Mpigapicha wa Jamboleo.
No comments:
Post a Comment