August 08, 2011

JK na viongozi wa Dini

Rais DKT.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na baadhi ya Masista watawa wa Kanisa Katoliki walioshiriki katika futari ambayo Rais aliwaalika viongozi wa dini mbalimbali katika ikulu ya jijini Dar es Salaam jana jioni.

No comments:

Post a Comment