Nafasi Ya Matangazo

July 22, 2011




FFU wa Ngoma Africa Band waanza
Shamra shamra za miaka 5O ya uhuru mapema!!!!!!!! na kasi kubwa !

Bendi maarufu ya mziki wa dansi baranu ulaya Ngoma Africa band aka FFU,
wamestua ulimwengu kwa kurusha hewani wimbo mpya uliobeba jina la "Bongo
Tambarare" kama mojawapo ya mwanzo wa shamra shamra za kuelekea katika
sherehe za miaka 50 ya Uhuru !
Wimbo huo  "Bongo Tambarare" utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo kamanda
Ras Makunja,akiimba kwa kushirikiana na Christian Bakotessa aka Chris-B,aka"Mshenzi" wa gitaa la solo,
wimbo unasikika katika kambi ya FFU at www.ngoma-africa.com
wimbo huu ni salam za mwanzo tu kutoka  bendi hiyo watanzania wote popote walipo,
lakini bendi hiyo itaipua jikoni vitu vipya rasmi katika siku za usoni,hili kuhakikisha umma wa
wananchi wa Tanzania na marafaki wote wanapata burudani kamili hisiyo na mfano.
usikose kusikiliza "Bongo Tambarare" ya watanzania at www.ngoma-africa.com pia unaweza
ku Log In.
 Ras makunja wa Ngoma Africa Band
Posted by MROKI On Friday, July 22, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo