WAREMBO 11 wanataraji kupanda jukwaani Julai 22, 2011 kuwania mataji mbalimbali likiwemo la mrembo wa Vodacom kanda ya Mashariki wamewasili kamibini kujifua kwa mashindano hayo na Mrembo wa Tanzania.
Warembo wamepiga kambi katika Usambara Safari Lodge iliyopo Nanenane nje kidogo ya miji wa Morogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa Mratibu wa mashindano hayo Alex Nikitas aliwaambia waandishi wa habari kuwa maadalizi yamekamilika ikiwa ni pamoja zawadi kwa washindi na washiriki.
Alex alisema warembo hao 11 ni kutoka mikoa ya indi,Mtwara,Tanga,Pwani na Morogoro.
Alisema mchuano huo utatumbuizwa na wasanii mbalimbali akiwemo Dully Syks,Master Bross Mbatizaji na White Ngoma pia itawakutanisha wanamitindo mbalimbali maarufu wa kimataifa Diana Magesa kutoka Morogoro.
Kwa upande wao washiriki Winfrida Gration-Pwani na Pendo Daniel-Morogoro waliwaambia waandishi wa habri kuwa wanakusudia kuonyesha maajabu katika michuano hiyo na kumpata mrembo atakayeleta upinzania nchini na nje ya nchi.
"safari hii naona kunamabadiriko kweli maana kila ninyemuona anasifa za kushinda taji la mrembo wa Tanzania na ninaimani hata Dunia anweza kutoa kati ya tulio kanda ya mashariki"alisema Pendo Daniel.
Miongoni mwa wataji yatakayo waniwa ni Taji la Kanda ya Mashariki, Miss Usambara Lordge na Miss Photogenic (Mrembo Mwenye Haiba ya Picha) kutoka MD Digital Company ambayo ndio waendeshaji wa Blogu hii ya Father Kidevu Blog.

0 comments:
Post a Comment