July 23, 2011

Wabunge walipojiachia na Vodacom

Spika wa Bunge Anne Makinda akikaribishwa na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare kwenye hafla ya usiku wa Vodacom(Meet & greet) iliyoandaliwa kwa wabunge na Kampuni ya Vodacom. Katikati ni Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano, Mwamvita Makamba
Mkuu wa Kambi ya Upinzani, Bungeni, Freeman Mbowe na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare wakiteta jambo wakati wa hafla hiyo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare wakiteta jambo.
Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom, Mwamvita Makamba (katikati) akijumuika na baadhi ya wabunge kucheza mziki wakati wa hafla hiyo  MKurugenzi wa Vodacom Tanzania,Dietlof Mare akiteta jambo na Balozi wa jumuia ya Ulaya Tim Clark.
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akicheza mziki na baadhi ya wabunge wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania ,Dietlof Mare akizungumza na Balozi wa Jumuia ya Ulaya, Tim Clark.

No comments:

Post a Comment