KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 15, 2011
Pinda atembelea Maonesho ya Wizara ya Nishati Bungeni
Waziri Mkuu MIzengo Pinda( kushoto) akipata maelezo kutoka fundi sanifu wa umeme jua katika banda la Wakala wa Nishati Vijijini(REA). Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa maagizo katika banda la Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA) wakati alipotembelea banda hilo. Waziri Mkuu Mizengo Pinda(kushoto) akipata maelezo kutoka Mhandisi Melania Kamugisha katika banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) kwenye maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment