July 25, 2011

 Nikiwa mjini Tanga Camera ya Blogu hii ilipata fursa ya kutembea moja ya maoko ya kuuzia samaki ya mjini humo, na kujionea mazingira na hali halisi soko hilo. Vibanda mnavyoviona ni vya mama lishe.
 Wavuvi wakirejea Pwani wakitoka kuvua samaki
Moja ya mashua za wavuvi ikiwa na zana tayari kwa kwenda kuvua.

No comments:

Post a Comment