July 22, 2011

Maandalizi Siku ya Mashujaa na X-Mass 50 za Uhuru

 Mnara wa Mashujaa ulipo Mkoani Morogoro karibu na Ofisi za Posta
 mwanamke Fundi rangi mkazi wa Manispaa ya Morogoro akipaka rangi mnara wa mashujaa mjini Morogoro leo.
Fundi huyu aligoma katakata kutaja jina lake.

No comments:

Post a Comment