October 06, 2009

Mama nae ajiandikisha..

Mke wa Rais, Salma Kikwete akijindikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa Oktoba 25 mwakahuu. Alijiandikisha leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge kilivhopo mtaa wa Kivukoni Dar es Salaam.
Mama Salma akianguka...

No comments:

Post a Comment