KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
October 06, 2009
Baraka anawasalimu sana.
Baraka H Lymo (1 na miezi 3) anawapa shavu wadau wote wa blogu hii ya jamii na kuwatakia afya njema na ufanisi mzuri katika shughuli zenu. Pia anawashushia salamu wazazi ndugu na jamaa wote.
No comments:
Post a Comment