September 29, 2009

Mpira wa Pete Dar raha tu.

Wachezaji wa timu ya Malawi (jezi nyekundu) wakichuana na timu ya Lethoto katika mchezo wa Kimataifa Mpira wa Pete Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.
Mpambano unaendelea ....
Mbwebwe na umahiri wa wachezaji huvuta hamasa ya kuangalia mchezo huu.
Mapumziko mawaidha hutolewa...
Mashabiki wa kifuatilia kwa ukaribu mchezo huo. Hadi mwisho Malawi 77 na Lethoto 22. Timu hiyo ya Lethoto pia jana alipata kichapo kutoka kwa Tanzania. Jioni hii Tanzania inamenyana na Afrika Kusini. Wadau karibubni sana kuangalia akina dada.
KIINGILIO NI BUREEEEEEE!!!!!

1 comment:

  1. Duh! Ee bwana Mroki ee hiyo picha ya kwanza hapo big up sana.

    Duh! Me imeniacha kwenye hali mbaya sana hapa. Hiyo MIP*J*! Mweeh!

    Hivi kuna kiingilio huko au bure?
    Nataka niende leo nikajionee LAIV

    ReplyDelete