September 28, 2009

FK anapojiajiri

Mdau nakukaribisha kwa utashi wako: Uandikie maelezo picha hii. Huyu ni Father Kidevu hapa ilikuwa Mtaa wa Samora Dar es Salaam.
Msindi kupata zawadi. Tuma Caption yako mrokim@gmail.com (andika MAELEZO YA PICHA).

2 comments:

  1. Father Kidevu, sasa kama wewe umekula suti unachoma miogo kweli wateja wataweza kuja nunua miogo kutoka kwako?

    ReplyDelete
  2. Hapa anaonekana Father Kidevu akigeuzageuza mihogo ili iive kwa haraka baada ya kuona anacheleweshewa order yake ya lunch. Father alikuwa na njaa sana na akawa hana subira akihisi kuwa mihogo haiivi kwa kasi anayotaka yeye.Njaa mwanamme!

    Mdau
    USA
    yakeyayo@yahoo.com

    ReplyDelete