KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 19, 2009
Usipo ziba Ufa.......
Usipo jenga hili lililowekewa pipa katika mtaa wa Jamhuri karibu na Jengo la Benjamin Mkapa na NMB House mambo yatakua hivi...
...yatakuwa hivi kwa gari kuzama katika hayo mashimo.
No comments:
Post a Comment