August 07, 2009

Jiang ala nondo ya IIJ Ujerumani

Mwandishi wa habari wa Daily News Jiang Alipo akipokea nondo yake baada ya kumaliza mafunzo ya Multimedia & online journalist nchini Ujerumani katika chuo cha IIJ.Anayempa ukumbusho huo ni Mkufunzi wake Matthias Spielkamp.

No comments:

Post a Comment