KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 07, 2009
JK na Bunge la Afrika Mashariki
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki pamoja na viongozi mbalimbvali wa serikali baada ya kulihutubia Bunge hilo Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment