August 19, 2009

Msaada kwenye tuta

Watoto wa shule ya msingi Boma Dar es Salaam wakisaidia kusukuma mkokoteni wa taka jana. Wazazi na walezi wanapaswa kuwaonya watoto kushika vitu vya uchafu kama hivi.

No comments:

Post a Comment