KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 19, 2009
Mbagala ni balaa tupu, Nyumba yateketea kwa moto
Mto umetekeza nyumba ya Vyumba vitano iliyokuwa Uwani katika Nyumba ya Bi Asia Ramadhani iliypo Mbagala Zakhem Dar es Salaam leo Agosti 19 mchana. wapangaji waliounguliwa nyumba wakikataa kupigwa picha.
Vitu vilivyotolewa katika nyumba kubwa ya Bi Asia Ramadhani.
No comments:
Post a Comment